Maono |
Kuanzisha enzi mpya ya kujitegemea, maendeleo ya kijamii na kiuchumi na uwezeshaji katika Sekta ya Uhandisi wa nguo pamoja na ushirikiano wa Kimataifa kwa Afrika na nchi za Mashariki ya Kati |
Misheni |
Kutumika kama lango na suluhisho moja la Teknolojia ya Nguo na Uhandisi linalojumuisha Elimu, Maendeleo ya Ujuzi, Uwekezaji wa Pamoja na kutafuta. |
Lengo |
- Kuendeleza ufumbuzi unaoendana na mahitaji ya kipekee ya Viwanda na Taifa.
- Kuhamasisha uvumbuzi na kupanga siku za usoni.
- Kugawa fursa zisizo na mwisho na biashara kwa nchi.
- Kusaidia biashara, jamii na nchi kukua, kuwa na afya bora na kustawi.
|
Tarehe Za Maonyesho |
Kabla ya Tukio : Tarehe 28 na 29 Novemba 2023
Maonyesho: 30 Novemba hadi 2 Desemba 2023 (0900 asubuhi - 1700 jioni)
Kutamatisha : Tarehe 3 Desemba 2023 |
Ukumbi |
Kenyatta International Convention Centre (KICC), Nairobi, Kenya |
Mpangaji |
Ilianzishwa kama shirika lisilo la faida la Viwanda mwaka wa 1980, India (ITME Society) ili kutumika kama kichocheo cha Ubora wa teknolojia. Sasa shirika hilo ni nguzo muhimu wa Sekta ya uhandisi wa nguo nchini India.
Kwa sasa, shirika hili ni nguzo muhimu kwa sekta ya kiteknologia, teknolojia ya nguo, kuongeza kasi ya ubunifu wa kiteknolojia na kwa pamoja kuunda sekta ya nguo na kuathiri vyema siku zijazo. |
Vipengele Maalum |
A - Matamanio
C - Kushindana
E - Kuchunguza
- Upatikanaji wa masoko mapya na fursa mpya za biashara
- Wigo wa ubia na uwekezaji
- Mfiduo wa Kimataifa na ushirikiano wa pamoja
- Upatikanaji wa fedha na uhusiano
- Bei ya ushindani
- Motisha za kodi na msaada wa serikali kwa kuendeleza biashara na bara la Afrika.
|
Sekta |
A. Teknolojia ya nguo
B. Uhandisi
C. Bidhaa za nguo
D. Huduma za Washirika |
Malipo ya Kushiriki |
Tafadhali jiandikishe mtandaoni
https://www.itme-africa.com |
Jinsi ya kujihusisha |
https://ems.india-itme.com/#/IA23
Kumbuka :
- Ruzuku na kifurushi maalum kitafunguliwa mara tu utakapojaza fomu mtandaoni na ikiwa ya uhakiki.
- Pande wazi zitatengwa kulingana na upatikanaji kwa minajili ya kuafiki mpango wa mpangilio.
- Uthibitishaji na mgao wa duka kwenye: msingi wa kuja-wa kwanza kwa kuwasilisha malipo ya 100% na kulingana na nambari ya kipaumbele.
- Kwa maelezo Zaidi Wasiliana nasi kupitia: itme@itme-africa.com
|